Revelation 1:3

"God blesses the one who reads the words of this prophecy to the church, and he blesses all who listen to its message and obey what it says, for the time is near"

Tuesday, 2 September 2014

Allan J-Nimekukimbilia Lyrics

Nimekukimbilia wewe bwana nisiaibike milele

Verse1
Maadui wamenizingira Pande zote
sina msaada msaada wangu utatoka wapi 
msaada wangu ooh 
Ni katika bwanaa
msaada wangu utatoka waapi
msaada wangu ooh 
Ni katika bwanaa

Nimekukimbilia wewe bwana nisiaibike milele
Nimekukimbilia wewe bwana nisiaibike milele

Verse 2
Maana maisha yangu yamekoma kwa huzuni
Na miaka yangu kwa kuugua
Lakini mimi nakutumaini wewe
nyakati zangu zote zipo mikononi mwako
Lakini mimi nakutumaini wewe nakukabidhi
Moyo wangu Leoooo

Nimekukimbilia wewe bwana nisiaibike milele
Nimekukimbilia wewe bwana nisiaibike milele

Without Music
Nalia machozi nikisema wewe ni Mungu
Hakuna mwingine kama wewe
Utendaye ni wewe pekee oooooh

No comments: