Revelation 1:3

"God blesses the one who reads the words of this prophecy to the church, and he blesses all who listen to its message and obey what it says, for the time is near"

Tuesday, 2 September 2014

Download Allan j_nimekukimbilia mp3 hapa Allan j tz(allan pyuza)



Download nimekukimbilia wewe bwana
Bonyeza hapa kudownload nimekukimbiliamp3 Allan j

Allan J-Nimekukimbilia Lyrics

Nimekukimbilia wewe bwana nisiaibike milele
Nimekukimbilia wewe bwana nisiaibike milele

Verse1
Maadui wamenizingira Pande zote
sina msaada msaada wangu utatoka wapi 
msaada wangu ooh 
Ni katika bwanaa
msaada wangu utatoka waapi
msaada wangu ooh 
Ni katika bwanaa


Nimekukimbilia wewe bwana nisiaibike milele
Nimekukimbilia wewe bwana nisiaibike milele

Verse 2
Maana maisha yangu yamekoma kwa huzuni
Na miaka yangu kwa kuugua
Lakini mimi nakutumaini wewe
nyakati zangu zote zipo mikononi mwako
Lakini mimi nakutumaini wewe nakukabidhi
Moyo wangu Leoooo


 
Nimekukimbilia wewe bwana nisiaibike milele
Nimekukimbilia wewe bwana nisiaibike milele


Without Music
Nalia machozi nikisema wewe ni Mungu
Hakuna mwingine kama wewe
Utendaye ni wewe pekee oooooh


Nimekukimbilia wewe bwana nisiaibike milele
Nimekukimbilia wewe bwana nisiaibike milele
Nimekukimbilia wewe bwana nisiaibike milele

Nimekukimbilia wewe bwana nisiaibike milele

Tuesday, 26 August 2014

BRAND NEW

New song Download Allan J tz-Nimekukimbilia mp3
Singer ;Allan j
Composer; Allanj
Songwritter The angels
Arranger and sound engineer;Ellie piano
label ;Nexas


Allan J Coming soon

Allan j tz(Allan pyuza) release soon the song called Nimekukimbilia
Be ready 4 this song in 2014

                                   Coming soon

Find on social networks

Gmail

Tuesday, 12 November 2013

Saturday, 12 October 2013


Kazi ilianza kwakishindo sauti zikapazwa.

JOHN LISU NA ALBAMU YA UKO WAPI 

 (CCC UPANGA ) LIVE SHOW

Ubora wa mandhari wa Live Recording pamoja na Itifaki ya Mtiririko wa waimbaji ndio uliosahaulisha machungu ya Maelfu ya Wakazi wa Jiji la Dar-es-Salaam, Morogoro, Pwani , Zanzibar na nchi jirani Kenya waliochelewa kuingia ndani ya ukumbi wa CCC Upanga kufuatia utaratibu mpya wa usalama wakati wa kuingia kwenye Live Recording ya “Uko Hapa” ya Mwanamuziki John Lisu.

 Katika Ukumbi wa CCC Upanga Mwanamuziki wa Injili John Leonard Lisu ameandika historia kwa mara nyingine kwa kurekodi albam ya pili ya DVD katika Ukumbi huo. Kabla ya John Lisu kupanda na Kuanza kurekodi watumishi wengine wa utangulizi walianza kazi ya kusafisha njia hiyo. Wanamuziki waliohudumu ni pamoja na Mbomby Johnson, Neema Gospel Kwaya, Pastor Paul Safari, Paul Clement na Abedinego Hango.

John Lisu alipanda round ya kwanza na kurekodi nyimbo 12 mfululizo ambapo katika nyimbo hizo 12 amemshirikisha mwanamuziki maarufu wa Kenya Timothy Kaberia, pia amemshirikisha Mwanamuziki bora wa Injili Barani Afrika katika Ukanda wa Africa Mashariki Christina Shusho. Katika Collable hilo la John Lisu na Christina Shusho lilikuwa la aina yake na kukonga nyoyo za watu. Mwanamuziki John Lisu alirudi tena na kumalizia kurekodi nyimbo 6 na kutengeneneza jumla ya nyimbo 18.
Angalia picha mambo yalivyokuwa kama ilivyowekwa na Allanjofficial.blogspot.com




John Lisu akiwa na music director wake Fred Kilago au mwite Masanja, jamaa ni kichwa cha muziki Tanzania inajivunia naye.
Fred akiwa na ubavu wa Ona mwite Tumaini.
Pastor wa DPC Abel akiwa anafunguwa event kwa maombi.
Jukwaa likipendeza na watu wakiwa wengi vijana wanakwambia nyomi.
Bomby Johnson akiwa Kikazi zaidi siku ya Jana.
Tumaini Ona akiwa natabasamu kali.
Pastor Paul Safari akimtukuza Mungu.
Christina Halai kulia akiwa sambamba na wenzake.
Milio yenye kubembeleza mweeee!
Hakika ilipendeza.
Neema Gospel Live Choir kutoka AIC Chang'ombe wakimsifu Mungu.
Kijana wa GWT, Paul Clement akiimba Mpenzi wa karibu.
Katibu Mkuu wa TAG Pastor Ron Swai akifungua rasmi Live Recording ya John Lisu
Ma MC wa tukio Godwin Gondwe kutoka IPP pamoja na Sam Sasali a.k.a bwana harusi mtarajiwa wakienda sawa.
John Lisu akijiweka sawa kupanda jukwaani kuanza kazi huku mkewe akimwangalia.
Makofiiiiiii kwa John Lisu akipanda jukwaani tafadhaliiiii
Lisu akikimbia kuelekea jukwaani.
Kazi ilianza kwakishindo sauti zikapazwa.




Wee ilinoga sana.
Christina Halai akienda sawa, Sasali ameandika huyu dada huyuuu, hapana shaka waliokuwepo jana mnajibu.
Uncle jimmy the blogger akienda sawa na watu wengine kucheza na kumrudishia Mungu utukufu.
Wanaume wakiwa kazini mwe
Uweponi mwa BWANA kila goti litapigwa.


Godwin akiwa uweponi.


John Lisu na Timoth Kaberia toka Kenya wakiwa Kikazi zaidi
John Lisu na kundi lake wakipiga picha ya pamoja baada ya kazi nzuri. Picha by Samuel Sasali na Fred Kilago.

Thursday, 10 October 2013

Mayday Music katika Workshop ya percution

Allan j pamoja na wanafunzi wengine





 workshop at may day music
Baadhi ya wanafunzi wakiwa katika workshop za percution at mayday music 2013

Jotta A the artist From Brazil

 
His name is Jose Antonio Viana, Tony or Jotta A (J.A) for short. He’s from Sorocaba, Brazil and he’s thirteen years old now. He’s currently participating in a nationally aired children’s talent show called Jovens Talentos Kids which is a segment of the popular local program Raul Gil. I must say he’s totally destroying the competition and most likely he will win. He’s very blessed and talented and does a lot of performances at local churches and concerts. He recently performed with Pastor Donnie McClurkin, Fred Hammond and Kirk Franklin at separate concerts in Brazil. I’m not sure about the brothers but I do know he has a sister named Lanna who accompanies him on most of his engagements and is sort of his manager I guess. Look out for this boy. He is truly sanctified and I think he is going to be very big very soon. His vocal abilities are out of this world and when he hits the stage you can feel the Holy Spirit radiating from him. He is doing a great job ministering to the young people of Brazil.

We really don’t know a lot about this incredibly talented youngster who lives in a small village in Brazil. He has a voice like an angel — as you will hear by clicking below — name is Jose Antonio Viana, but goes by “Jotta A” — although his family calls him Tony.
The joy that radiates from this 13-year-old is contagious.
He’s the youngest of three sons of  Antonio and Edna Holanda, living in the village of AngĂ©lica, just outside Sorocaba, Brazil.
To hear this kid sing, CLICK HERE

Wednesday, 9 October 2013

The proffesional producer and music composer called Brian Douglas at street sound music Ubungo and he is the student of Mayday music Tanzania  school
                                 CONTACTS
                                                      0713257085
with my friend #Ellyson mrutu in black and white

Sunday, 6 October 2013





Ellyson Mrutu from THE ANGELS playing keybord at TAG msimbazi ,Ilala in praise and worship concert 
        ''BE BLESSED BROTHER ELLYSON''
                        2013 January




Isack mrutu from THE ANGELS playing Keybord (MOTIF) at TAG msimbazi .ilala in PRAISE AND WORSHIP CONCERT 2013
         BE BLESSED BRO